Monday, January 23, 2017

Mwaka Mpya 2017

Mwaka mpya umefika
Hata sisi tumefika
siku zimefika hata saa kufika
Wamefika wahusika hata waso husika!

Mwaka Ishirini kumi saba
Ni mwaka sio wa nasaba
Kila mtu ale sita kwanini isiwe saba?
Wamefika wahusika hata waso husika!

Tukazeni tena buti
Wala tusi laze kuti
Tujitahidini hasa tuweze kuti, kuti.
 Wamefika wahusika hata waso husika!

By
Mika Ayo

No comments:

Post a Comment